Habari za Punde

YANGA YASHINDWA KULA EMBE MDONDO

Wewe hapa hupati kitu hapa hata mie nimetoka mbali nimekuja kusaka mahela kama wewe.....Golikipa wa timu ya Azam, Vladimir Niyonkuru, akiruka kuokoa hatari iliyoelekezwa langoni mwake na mshambuliaji wa Yanga, Mike Baraza, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam jana. Timu hizo zlitoka sare ya 1-1. Picha na (SPM)

Haya ni mavitu adimu we tulia tu..........Mshambuliajiwa timu ya Yanga, Moses Odhiambo, akiruka kumiliki mpira, wakati wa mchezo huo kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaa jana. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.