Habari za Punde

NANI KUCHEKA NANI KUNUNA KESHO? ACTION PICTURES

Juma Kaseja (kushoto) akiwa na kipa mwenzake Obren Curkovic, wakifurahi mara baada ya mchezo huo wakati wakiwa timu moja, je kesho watafurahi pamoja kama hivi?, kwani kila mmoja kesho atakuwa akilinda lango lake.

Duh! Jamaa wametufanya vibaya leo...........Mashabiki wa Simba wakiwa na nyuso za huzuni baada ya timu yao kufungwa.

Hawa wachumba tuuuuu si mmeona?????????Mwenyekiti wa Yanga Imani Madega akishangilia mbele ya jukwa la mashabiki wa Yanga.

Eee mungu nisaidie niwaumize hawa jamaa wanachonga saaaaanaaa.........Mwanaume Ambani akiomba mungu kabla ya mchezo huo kuanza.

Nyie wetu tuuu hata mfanyajeeeeeeeeeeeMashabiki wa Simba wakiwa na bendera yao yenye maneno kama unavyoyaona, lakini baada ya mchezo huo bendera hii ilikuwa nzito kwao na walianza kutupiana mpira nani wa kuibeba.

Ninahasira nayo hii mijitu weee acha tuuu, yaangalie kwanza yana.......Hili ni lijidume kati ya mashabiki lukuki waliokuwa wamefurika kwenye uwanja Mkuu wa Taifa siku hiyo.

Chuji akichuana na Banka.

Kelvin Yondan akiruka kuokoa hatari langoni mwake.

Aghhhhhh!.......Juma Jabu akimchezea faulo Mrisho Ngassa.

We Bwana Mdogo tulia utaumia weweeeeeeeeee, aaa acha kunishikaaaaaa.....Mrisho Ngassa (kushoto) akimfinya Juma Jabu.








Hizi ni triki za soka dogo we tulia tu......Lala la laa gooooooooooooooooooooooooooooo.





No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.