
Mwendesha pikipiki wa Kambi ya Kinondoni, Amani Shoo, akionyesha umahiri wake wa kucheza na pikipiki wakati wa mazoezi ya pamoja ya waendesha pikipiki wa Ilala na Konondoni, yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe Dar es Salaam mwisho wa wiki. Picha Zote na (SPM)

Ludan Volvo hewani akichuana na Kaduguda wakati wa mazoezi yao ya pamoja.

Amani Shoo, akiruka tuta wakati wa mchezo huo.

Mwendesha pikipiki wa Kambi ya Ilala, Ludan Volvo akiwa hewani baada ya kuruka tuta wakati wa mazoezi yao kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Mwendesha pikipiki wa Kambi ya Kinondoni, Kitimtim, akiruka tuta alipokuwa katika mwendo mkali kwenye mazoezi yao ya pamoja kati ya kambi za Ilala na konondoni, Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Mwendesha pikipiki wa Kambi ya Ilala, Ludan Volvo, akisimama na tairi moja wakati alipokuwa katika mwendo mkali kwenye mazoezi yao ya pamoja kati ya kambi za Ilala na konondoni, Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Ludan Volvo akicheza na pikipiki, hapa anasimama juu waka ikiwa kwenye mwendo mkali.

Mwendesha pikipiki wa Kambi ya Kinondoni, Kaduguda akiwa hewani baada ya kuruka tuta wakati wa mazoezi yao kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Waendesha pikipiki wakchuna hapa wakiruka tuta kwa pamoja.
No comments:
Post a Comment