Habari za Punde

*Filbert na Saum wafunga ndoa ya kifahari Dar

Filbert akiwa na mkewe Saum, wakati wa hafla ya ndoa yao iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mona, uliopo Mikocheni Dar es Salaam mwishini mwa wiki. Picha Zote na (SPM)

Filbert akimlisha mkewe wakati wa muda wa chakula cha mchana.

Hapa wakijisevia msosi wa nguvu ulioandaliwa kwa ajili yao.

Filbert na Mkewe Saum, wakifurahia maisha mapya.

Filbert akisindikizwa na mpambe wake, Sagawala, kupeleka keki kwenye meza ya Wakwe zake, wakati wa Sherehe hiyo ya ndoa yao.

Filbert na mkewe wakikata keki kwa pamoja kuashiri kuwa sasa wao pia ni kitu kimoja baada ya kufunga ndoa takatifu katika Kanisa la Rutheran Msimbazi Centre Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Filbert, akimnywesha Champaign, mkewe swaumu. wakati wa hafla hiyo.
Hapa wakigonganisha glasi ikiwa ni sehemu ya sherehe hiyo, wapambe wa Bwana na Bi Harusi.

Wakiwa na glasi zao mkononi......................

Wakimiminiwa Champaign, kwenye glasi zao..

Kuonyesha furaha isiyo kifanni, Bwana na Bi Harusi hao walifungua Champaign wenyewe.

Hapa ndo walikuwa wakiingi ukumbini kwa furaha wakitokea Kanisani baada ya kufunga ndoa.

Hili ni pozi la Karne la Bwana na Bi harusi, Filbert na Saum.












No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.