Habari za Punde

MWAPWANI WA BSS AJIUNGA KARUNDE BAND

Sasa kinananiliu watanikubali tu bora maisha............Msanii aliyeshiriki katika kinyang'anyiro cha kumsaka Mshindi wa shindano la Bongo Star Search mwaka huu, Mwapwani Yahya, akiimba jukwaani katika bendi ya Karunde baada ya kujiunga rasmi na bendi hiyo hivi karibuni, wakati wa onyesho lao lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Hoteli ya Girafe Ocean View Mbezi Beach. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.