Habari za Punde

*MAFURIKO KENYA KAMA KILOSA, MAGARI YAKWAMA

Baada ya ukame wa muda mrefu, mvua kubwa zilipoanza kunyesha katika mkoa wa Kaskazini Mashariki nchini Kenya zilisababisha mafuriko yaliyobomoa miundo mbinu kama barabara. Mwandishi wetu Bashkash Jugsoday alishuhudia uharibifu huo, zifuatazo ni baadhi ya picha alizopiga katika barabara ya Dabaab kwenda Garissa.
Baadhi ya Magari ya mizigo zaidi ya 40 yakiwa yamebeba chakula cha misaada ya wakimbizi wa kisomali yakiwa yamekwama kutokana na barabara kuharibika kwa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Kenya. Picha Kwa Hisani ya www.bbcswahili.com

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.