Habari za Punde

*KAPUYA AZINDUA KITABU CHA 'HIZI NDIZO AJIRA'

Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Proesa Juma Kapuya (wapili kushoto), Meya wa Jiji, Adama Kimbisa (kushoto), Mtunzi wa Kitabu, Ombeni Msuya na Mkurugenzi wa ILO Kanda ya Afrika Mashariki, Alexio Musindo, wakiwa na baadhi vitabu vya ‘Hizi Ndizo Ajira’ mara baada ya kukizindua kitabu hicho.
Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Viajana, Profesa Juma Kapuya, (wapili kushoto) akikata utepe kuzindua kitabu cha ‘Hizi Ndizo Ajira’ kilichotungwa na Kijana, Ombeni Msuya (wapili Kulia), wakati wa uzinduzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Meya wa Jiji, Adam Kimbisa, (kulia) ni Mkurugenzi wa ILO, Kanda ya Afrika Mashariki, Alexio Musindo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.