Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja akizungumza na wadau wa Sekta ya Madini nchini wakati wa hafla ya Uzinduzi na Uchangiaji wa Taasisi ya Wadau na Wachimbaji katika sekta ya hiyo nchini (MISF) jana usiku jijini Dar es salaam.
Waziri Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja akizungumza na wadau mbalimbali wa sekta ya madini waliohudhuria uzinduzi Uzinduzi na Uchangiaji wa Taasisi ya Wadau na Wachimbaji katika sekta ya Madini nchini (MISF).
Chini -Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam William Lukuvi akibadilishana mawazo na wadau waliohudhuria uzinduzi Uzinduzi na Uchangiaji wa Taasisi ya Wadau na Wachimbaji katika sekta ya Madini nchini (MISF) Picha Zote na Aron Msigwa-MAELEZO
No comments:
Post a Comment