Habari za Punde

*YANGA YAMWAGA MAJI UWANJA WA UHURU DAR




Ambani akifunga bao la pili dhidi ya Majimaji ya Songea kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam jana. Yanga ilishinda 3-0, Ambani apiga Hat Trick.
Wachezaji wa Yanga, kutoka (kushoto) Amir Maftah, Athuman Idd, Boniface AMbani, Steven Bengo na Shamte Ally, wakishangila bao la tatu lililofungwa na Ambani, wakati wa mchezo huo kwenye Uwanja wa Uhuru Dar jana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.