Habari za Punde

*AJALI YA AJABU DAR LEO, GARI LANING'INIA JUU YA MTI


Gari lenye namba za usajiri T 857 BAR, likiwa limening’inia juu ya mti katika daraja la Kawe lililopo Mbezi kwa Komba Dar es Salaam jana. Haikuweza kufahamika chanzo cha ajali ya gari hilo, kwa mujibu wa walioshuhudia ajali hiyo walieleza kuwa ajali hiyo ilitokea usiku wa kumakia leo mida ya saa tisa usiku katika daraja hilo.






Huu ni upande wa chini ya gari hilo linavyoonekana likiwa juu ya mti, ambapo imeelezwa magari kadhaa yalifika kutoa huduma ya kuliondoa mahala hapo bila mafanikio.

Askari wa usalama barabarani, akiongoza magari ili kuondoa foleni ambayo ilikuwa ikisababishwa na madereva waliokuwa wakishangaa ajali hiyo jambo ambalo lilimfanya kila dereva kupunguza mwendo afikapo eneo hilo.





No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.