Habari za Punde

*MAJAJI WAADHIMISHA SIKU YA SHERIA NCHINI










Rais Jakaya Kikwete (katikati), Spika wa Bunge, Samue Sitta, Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe na jaji Mkuu wa Agustino Ramadhani, waliokaa mbele, wakipiga picha ya kumbukumbu na majaji wa Mahakama Kuu, mara baada ya kumaliza sherehe ya kuadhimisha Siku ya Sheria na Mwaka mpya wa Mahakama, iliyoadhimishwa jijini Dar es Salaam.





















Jaji Mkuu, Agustino Ramadhan, akikagua gwaride wakati wa shererhe hizo.

























Jaji Ramadhan, akiwa katika harakati za kukagua gwaride.























Rais Jakaya Kikwete, akisoma hotuba yake fupi wakatiwa wa sherehe hizo.























Katika sherehe hizo pia walialikwa viongozi mbalimbali wa Vyamba tofauti vya siasa, hawa ni Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia (kushoto) akizungumza jambo na mwenyekiti wa CUF, Ibrahim




















Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Chama cha CUF, Ibrahim Lipumba, nje ya Mahakama Kuu ya Dar es Salaam jana, mara baada ya Rais kupiga picha ya kumbukumbu na baadhi ya viongozi wa Vyama vya Siasa, na Jaji Mkuu Augustino Ramadhan, wakati wa maadhimisho ya Sherehe ya Siku ya Sheria nchini na Mwaka mpya wa Mahakama, zilizofanyika jijini.



















Jaji Ramadhan, (mbele) akiongoza maandamano kuelekea kukagua gwaride.










Rais Jakaya Kikwete, akipunga mkono kuwaaga majaji na wageni waalikwa, wakati akiondoka kwenye Viwanja vya Mahakama.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.