Habari za Punde

*WABONGO HATUNA CHETU WAWEKEZAJI WENYEWE NDO HAWA?

"Nakomaa hadi kieleweke hapa, asanteni Uhamiaji"...



















Raia wa kigeni (mzungu) akiwa juu ya ngazi akipaka rangi katika ukuta wa Hoteli ya Southern Sun, zamani Hollyday Inn, hii inaonyesha ni jinsi gani Raia wa Tanzania hawathaminiki na kupewa ajira kwa kile kinachoonekana kuwathamini na kuwaamini zaidi wageni.













Hata wapaka rangi hawa pia wanaonekana wana asili ya Kenya sasa je Wabongo tufanye kazi gani? kama hata kazi kama hizi wanaletwa wageni kukomaa nazo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.