Meneja Maendeleo ya Biashara Zantel, Michael Magambo, akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa maonyesho ya Kampuni ya simu za mkononi Zantel, akifafanua kuhusu bidhaa na huduma za intaneti zinazotolewa na Zantel wakati wa maonyesho hayo yaliyofanyika jana jioni kwenye Hoteli ya Kempisky jijini Dar es Salaam.
Wageni waalikwa wakipewa maelekezo na wafanyakazi wa Zantel kuhusu matumizi ya Internet, wakati wa hafla ya maonyesho ya bidhaa na huduma za intaneti zinazotolewa na kampuni hiyo.
No comments:
Post a Comment