Habari za Punde

*BARNABAS, AMANI, KUSHAMBULIA JUKWAA LA DAR INTER COLLEGE MEI 27


Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Barnabas, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu onyesho la kinyanga’anyiro cha kumsaka Miss Dar Intercollege, linalotarajia kufanyika Mei 27 mwaka huu, ambapo msanii huyo atatumbuiza. Kushoto ni msanii wa muziki wa kizazi kipya, Amani, atakayeshirikiana na Barnabas katika onyesho hilo.
Amani naye akizungumza machache na kuimba baadhi ya vipande vya nyimbo zao zinazotamba wakati wa Mkutano huo.

Barnabas, akijibu maswali ya waandishi kuhusu jinsi gani alivyoweza kujiandaa kukamua katika onyesho hilo ili kuweza kukonga nyoyo za mashabiki watakaofika ukumbini hapo siku hiyo.





1 comment:

  1. Hi. essential job. I did not count on this . This can be a important
    story. Thanks!

    Feel free to visit my web-site: schufafreier kredit (http://gauhaticommercecollege.in/content/straightforward-ways-repair-your-less-perfect-credit)

    ReplyDelete

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.