Habari za Punde

*KAMPUNI ZA USAFI ZINAHITAJI MABORESHO NA VIFAA VYA KUFANYIA KAZI

Wafanyausafi wakifagia barabara ya Uhuru eneo la Shule ya Uhuru Dar es Salaam jana. Wafanyabiashara wa maeneo hayo wamelalamikia utaratibu wa wafanyausafi hao wanaoanza shughuli hiyo asubuhi wakati maduka yameshafunguliwa na kusababisha usumbufu kutokana na vumbi linalotokanana na uchafu, huku wafagiaji hao wakiwa hawana hata vifaa vya kujilinda na vumbi hilo linaloweza kuwasababishia magonjwa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.