Habari za Punde

*MVUA ZAZIDI KUHARIBU MIUNDOMBINU YA JIJI LA DARA

Magari yakipita kwa taabu katika barabara ya Kinondoni eneo la Makaburini kutokana na barabara hiyo kuharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha jijini. Manispaa za jijini Dar es Salaam zinajukumu la kurekebisha barabara hizo ili kuepusha usumbufu na msongamano wa magari.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.