Habari za Punde

*WAREMBO WA DAR INTER COLLEGE WATANGAZIWA ZAWADI ZA WASHINDI LEO

Mratibu wa shindano la Dar Inter College, Silas Michael, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akitangaza zawadi zitakazotolewa kwa washindi wa shindano hilo, linalotarajia kufanyika Mei 27 mwaka huu kwenye Ukumbi wa Billicanas. Kulia ni Meneja Uendeshaji wa Kampuni ya RBP, ambayo ni wadhamini wakuu wa shindano hilo, Ibrahim Khatrush.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.