Habari za Punde

*TIKETI ZA KOMBE LA DUNIA KUPATIKANA TFF

Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania, TFF, Florian Kaijage, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana kuhusiana na zoezi zima la upatikanaji wa tiketi za kushuhudia baadhi ya michezo ya Kombe la Dunia zilizoletwa na FIFA, ambapo wale wote walionunua tiketi hizo wanahitajika kuwa na risiti pamoja na picha ndogo 'Paspot Size' ili kupatiwa tiketi zao ikiwa pia ni maandalizi ya kiusalama wa mashindano hayo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.