Habari za Punde

*KUTOKANA NA AJALI NYINGI ZA PIKIPIKI DAR, WACHINA WAONGEZA BIDHAA

Wakazi wa jijini Dar es Salaam, wakichagua pikipiki za kichina kama walivyokutwa na mpigapicha wetu katika Mtaa wa Sikukuu Kariakoo. Pamoja na kuwapo kwa ajali nyingi za pikipiki lakini bado wakazi wa jiji hili wamekuwa wakinunua pikipiki hizo kwa wingi na kuzitumia kwa biashara, na wengine kutumia kwa usafiri ili kukwepa foleni za magari ili kuwahi maofisini, tena siku hizi hadi mabosi wamegundua chezo hilo ambapo wengi wao wamekuwa wakinunua pikipiki na kuegesha magari yaho hadi siku za wikiendi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.