Habari za Punde

*MAMA SALMA KIKWETE NDANI YA MKUTANO WA 'SUMMIT OF WOMEN' CHINA

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki kwenye mjadala wa 'Leading Government's Reach to women' pamoja na Makamu wa Rais wa Vietnam, Nguyen Thi Doan, (katikati), Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu na Mmiliki wa 'Sun Media Group'nchini China Moderator Yang Lan.
Mke wwa Rais Mama Salma Kikwete, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, (WAMA) ,akizungumza na Rais wa "Global Summit of Women", Irene Natividad wakati wakiwa kwenye gari kuelekea kwenye ukumbi wa ufunguzi wa mkutano huo 'great hall of the people' huko Beijing nchini China leo mchana

Mama Salma Kikwete (kushoto) akimkabidhi zawadi ya kinyago cha Ujamaa Wang Zhizheng, ambaye ni 'Vice-chairperson, Chinese People's Political Consultative Committee' aliyemwandalia Mama Salma Kikwete chakula cha mchana leo.

Mama Salma Kikwete akishiriki kwenye ufunguzi rasmi wa mkutano wa 20 wa "Global Summit of Women" kwenye ukumbi wa 'Great hall of people'huko Beijing nchini China jana. Aliyekaa kushoto kwa Mama Salma ni Mheshimiwa Maud Olofsson, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati wa Sweden. PICHA ZOT NA JOHN LUKUWI-MAELEZO





No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.