Habari za Punde

*TRIPOD MEDIA KUANDAA MAONYESHO YA ELIMU DAR

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tripod Media Ltd, Dorothy Ngashani, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu maonyesho ya elimu yanayotarajia kufanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee Juni 24 na 25 mwaka huu, yatakayoshirikisha nchi za Afrika Mashariki, yakiwa na lengo la kuwakutanisha Waalimu, Wahadhiri, Wanataaluma, Wanafunzi wa kuanzia Chekechea hadi waliomaliza Vyuo wanaotafuka kazi ili kubadilishana mawazo. Kulia ni Mkurugenzi wa Flare Magazine, Stephanie Mabachi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.