Habari za Punde

*JESHI NAO WAANZA KUSHIRIKI MAONYESHO YA SABASABA

Mnadhim Mkuu wa jeshi Abdulrahman Shimbo, akizungumza na waandishi wa habari kwenye banda la maonyesho la jeshi hilo kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam leo , kuhusu jeshi hilo kushiriki katika maonyesho ya biashara ya mwaka huu kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi, Andrew Nyumayo.
Waandishi wa habari, wakitoka kwenye Banda hilo la Jeshi baada ya mkutano, ambapo wananchi wameshauriwa kutembelea banda hilo ili kujionea kazi za jeshi ikiwa ni pamoja na kuapa nasaa na ushauri wa kupima na kujua afya ama kuchangia damu.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.