Habari za Punde

*NGATUNGA AKAGUA BANDA LAMAONYESHO LA NMB

Mwenyekiti wa Bodi wa Benki ya NMB, Misheck Ngatunga, akizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya Morden Tingatinga Arts & Garal ya mkoani Arusha, Magreth Morel 'Mama Tingatinga', wakati alipokuwa akitembelea na kukagua mabanda ya wajasiliamali katika Banda la benki ya NMB kwenye maonyesho ya Biashara katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere leo mchana. Kulia ni Meneja Masoko wa Benki hiyo, Shilla Senkoro.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.