Habari za Punde

*MACMILLAN WA TLP ARUDISHA FOMU YA URAIS LEO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Tanzania Labour Party (TLP), Meja Mstaafu Jesse Makundi (kulia) akipokea fomu ya mgombea nafasi ya urais kupitia tiketi ya chama hicho, Macmillan Lyimo alipokuwa akirudisha kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Dar es Salaam leo. Katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho, Hamadi Tao.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.