Habari za Punde

*POLISI WAKAMATA EATUHUMIWA 105 NA BUNDUKI 63 KATIKA MBUGA YA SELOU

Naibu Kamishna wa Polosi anayeshughulikia operesheni (DCP) Venance Tossi, akitoa maelekezo kwa askari wa jeshi la polisi na askari wa wanyama pori la akiba la Selous (Selous Germ Reserve) wakati wa operesheni ”Kipepeo III” kwa ajili ya ukamataji wa mangili wanaouwa wanyama pori. Jumla ya bunduki 63 zilikamatwa na watuhumiwa 105 walikamatwa katika operesheni hiyo iliyoshirikisha askari wa Tanapa, Jeshi la Polisi na askari wa gemu. Operesheni hiyo iliahirishwa jana. Picha Zote na Hassan Mndeme- Jeshi la Polisi

Mkurugenzi idara ya Wanyama Pori, Erasmus Tarimo akiangalia moja ya bunduki 63 zilizokamatwa katika operesheni kipepeo III ya ukamataji ujangiri katika mbuga ya akiba ya selou. Jumla ya bunduki 63 zilikamatwa na watuhumiwa 105 walikamatwa katika operesheni hiyo iliyoshirikisha askari wa Tanapa, Jeshi la Polisi na askari wa gemu. Operesheni iliahirishwa jumatatu. Kushoto ni Naibu Kamishna wa Polosi anayeshughulikia operesheni (DCP) Venance Tossi na katikati ni Mkurugenzi msaidizi wa kuzuia ujangili, Boniventure.

Askari wakiwa katika operesheni hiyo kwenye Pori la Selou.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.