Habari za Punde

*ETI JAMANI SALUNI KAMA HIZI BADO ZIPO MTAANI KWELI? HII IPO KATIKATI YA MITAA YA POSTA DAR

Wazee wakinyoana nywele kwa kutumia kiwembe wakiwa pembezoni mwa barabara karibu kabisa na Kituo cha Treni ya abiria (STESHENI), kama unavyomuona mnyolewaji akiuma meno na hii inaashiria kuwa kunyolewa kwa mtindo huo unakuwa unaumia na pia ni hatari kwa afya tena katikati ya jiji. Iwapo Vipanya na Bajaji vimezuiliwa kuingia maeneo ya katikati ya Jiji je ni kwanini basi na hawa wenye saluni 'Local' wasizuiliwe kufanya shughuli hizo katikati ya jiji?

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.