Habari za Punde

*ASKARI WAKIGANGA NJAA NA KUSAHAU JUKUMU LA KULINDA BENKI

Askari Polisi wanaolinda Benki ya NBC, wakimhoji dereva wa gari ndogo yenye namba za usajiri T 792 BBW, baada ya kuegesha gari hilo pembezoni mwa barabara ya Azikiwe karibu na Benki hiyo, haikuweza kufahamiaka chanzo cha askari hao kuacha lindo lao katika benki na kwenda kwa pamoja kuanza kumuhoji dereva huyo ama ni kwanini asingebaki askari mmoja lindoni na mmoja kufanya kazi hiyo? Eti kuna nini hapa Mdau??.......

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.