Habari za Punde

*KAMPUNI YA SIGARA YAPATA TUNZO YA UAJIRI BORA WA MWAKA

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC) Simon Matta, akionyesha tuzo ya Mwajiri bora wa Mwaka aliyokabidhiwa jana na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) muda mfupi baada ya kuipokea kutoka kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi(hayupo pichani). TCC pamoja na tuzo ya jumla ilishinda tuzo nyingine 5 za vigezo tofauti. Picha na Executive Solutions.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.