Habari za Punde

*WAKALA WA SAMSUNG WAJIPANGA VYEMA NA MAONYESHO YA SABASABA

Ofisa Mauzo wa kampuni ya Freedom Electronics wakala wa Samsung, Isaya Mayagila (wa pili kulia), akitoa maelezo kuhusu kamera mpya aina ya Samsung kwa watu waliotembelea banda lake katika Maonyesho ya 34 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Uwanja wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.