Eti jamani afande huyu vipi, eti anamfundisha na kumuhoji mtoto huyu mdogo sheria za usalama barabarani baada ya kumkuta mtoto huyo akiendesha kijipikipiki chake katika barabara kubwa na kumkamata na pikipiki yake ndigo iliyo mbele ya pikipiki ya afande huyo. Hapa anamuelekeza jinsi ya kutumia barabara wakati akiwa na usafiwake huo wa pikipiki na alama za barabarani.
HALI YA MAAMBUKIZI YA VVU YAPUNGUA MKOANI GEITA
-
Hali ya Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI kwa mkoa wa Geita imepungua kutoka
asilimia 4.9 ya mwaka 20121/2022 mpaka asilimia 4.3 ya mwaka 2025.
Hayo yame...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment