Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Magari ya Hyundai, Gulam Hussein (kulia) akimkabidhi mfano wa funguo ya gari , Mkuu wa Idara ya Mahusiano wa Kampuni ya Vodacom, Aika Matiku, wakati wa hafla ya kukabidhi rasmi sehemu ya magari 100 yanayoshindaniwa na wateja wa mtandao huo katika Promosheni ya ‘Shinda Mkoko’ iliyofanyika Jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hyundai, Mohamed Karmali.
Rais wa Ukraine amshutumu Putin kwa kuchochea vita
-
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy alimshutumu Rais wa Urusi Vladimir
Putin siku ya Alhamisi kwa kuzidisha vita vya Ukraine kimakusudi ili
kuvuruga juhu...
59 minutes ago
No comments:
Post a Comment