Askari wa usalama barabarani, akibandua Insurance kwenye gari la Kampuni ya Mwananchi linalochapisha magazeti ya Mwananchi, Cityzen na Mwanasport, baada ya kulikuta limeegeshwa katika eneo lisilo rasmi kwa maegesho wakati likisubiri kuwachukua waandishi wa gazeti hilo kuwarejesha ofisini. Hapa lilikuwa limeegeshwa mbele ya Jengo la IPS na huku likiwa na baadhi ya waandishi ndani yake waliokuwa wakiwasubiri wenzao.
RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI MJADALA WA WAKUU WA NCHI WA JUMUIYA YA AFRIKA
MASHARIKI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 25 YA JUMUIYA HIYO JIJINI ARUSHA
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akizungumza katika Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
(EAC) kwen...
32 minutes ago
No comments:
Post a Comment