Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Rangi ya Gold Star jijini Dar es Salaam Kulathu Srinivasan (kushoto) leo jijini Dar Es Salaam akionyesha kipeperushi pamoja na kutoa matokeo ya washindi kwa waandishi wa habari kipepeerushi hicho kilitumika kuwahamasisha wananchi kutumia rangi za Gold Star ambazo zimeambatana na kuingia moja kwa moja katika mchezo wa bahati nasibu ya mechi za mpira wa Kombe la Dunia uliochezwa mapema mwezi wa Julai 2010 huko Afrika ya Kusini. jumla ya washindi 35 wametanganzwa kupitia makundi matatu ambapo washindi wa5 wa kwanza wamepata shilingi1milioni, washindi kumi wamepata laki5 kila mmoja na washindi20 wamepata 250.000/- kila mmoja.mwengine ni Mkaguzi kutoka katika Bodi ya Mchezo wa Kubahatisha nchini Humudi Abdulhussein. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
Baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano Iran yatangaza ushindi dhidi ya
Israel
-
Kundi la Hezbollah limedai “ushindi” dhidi ya Israel baada ya kusainiwa kwa
makubaliano ya kusitisha mapigano, likisema wapiganaji wake wako tayari
kukab...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment