Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International, Hashim Lundenga (kulia), akibadishana hati na Mkurugenzi wa Kampuni ya Muzasha Tours & Safari, Muzamil Katunzi baada ya kutiliana saini mkataba wa makubaliano ambapo kampuni ya Muzasha itakuwa mdhamini mshiriki wa mashindano ya Miss Tanzania kwa sh. mil. 61. Wanaoshuhudia hafla hiyo iliyofanyika, Dar es Salaam jana, ni Mkurugenzi Uendeshaji wa Muzasha, Elasmus Kwayu na Vodacom Miss Tanzania 2009, Miriam Gerald.
Apewa dola Milioni 13 baada ya kukaa gerezani miaka 27 bila hatia
-
Michael Sullivan Raia wa Marekani amepata fidia ya dola milioni 13(
billioni 34 za kitanzania) baada ya kutumikia kifungo cha miaka 27 gerezani
kwa kosa ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment