Habari za Punde

*KAMPENI YA KUHAMASISHA KINA MAMA KUNYONYESHA WATOTO YAZINDULIWA DAR

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii, Brandina Nyoni na Mkurugenzi wa Sera na Mipango (IDARA) Benedict Jeje wakifunua kitambaa kuashiria kuzindua rasmi kampeni ya Kitaifa ya kuhamasisha Unyonyeshaji wa Maziwa ya Mama kwa mtoto Tanzania, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Jijini Dar es Salaam
Wasanii wa Kikundi cha Sprendid, wakiimba na kucheza wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampeni ya Kitaifa ya kuhamasisha Unyonyeshaji wa Maziwa ya Mama kwa mtoto Tanzania, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.