Habari za Punde

*PROFESA MARK MWANDOSYA ARUDISHA FOMU YA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA RUNGWE MASHARIKI

Anaewania Ubunge kupitia CCM Jimbo la Rungwe Mashariki, Prof. Mark Mwandosya akiongozana na mke wake na baadhi ya wanachama wa CCM kuelekea Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi wilaya ya Rungwe kurudisha form ya kuwania Kugombea Ubunge wa Jimbo hilo leo mchana. Picha Zote na Owen wa Bunge
Prof. Mark Mwandosya aakirejesha fomu za kugombea Ubunge kupitia CCM Jimbo la Rungwe Mashariki kwa Msimamizi wa uchaguzi wa wilaya hiyo, Noel Mahyenga kwenye Ofisi za CCM Wilayani humo leo mchana.
Msimamizi wa Uchaguzi wilaya ya Rungwe Ndg. Noel Mahyenga akimkaribisha Prof.Mark Mwandosya, wakati alipowasili katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe kurudisha Fomu za kugombea Ubunge wa Jimbo la Rungwe Mashariki.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.