Mkurugezni wa Kituo cha Uwekezaji (TIC) Emmanuel Olenaiko, ambaye pia ni mlezi wa Kambi ya Miss Tanzania, Meneja wa Mawasiliano Vodacom, Necta Foya na Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (katikati), wakipiga picha ya pamoja na warembo hao wakati Mkurugenzi huyo alipofika kuwaaga warembo hao wanaotarajia kushiriki kwenye shindano la Vodacom Miss Tanzania linalotarajia kufanyika Septemba 11,ambao wameondoka leo kuelekea Arusha kwa ajili ya kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii.
Muungano : Waziri Masauni Ahimiza Vijana Kulinda Misingi ya Muungano
-
Na; Mwandishi Wetu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe.
Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amewataka wanafunzi wa taasisi za e...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment