Habari za Punde

*STARS YAJIFUA KUJIANDAA NA MCHEZO WA KIRAFIKI WA KWANZA NA KOCHA MPYA

Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa (Taifa STars) wakiwa kwenye mazoezi ya pamoja Uwanja wa Karume kujiandaa na mchezo wao wa kirafiki unaotarajia kuchezwa Jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Kujifua tu kwenda mbele.....

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa, Jan Poulsen akitoa maelekezo kwa wachezaji wakati wa mazoezi yanayoendelea katika Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.

Kocha Mkuu wa Makipa, Juma Pondamali akiwafua makipa, Juma Kaseja (aliyelala) na mwenzake, wakati wamazoezi hayo.




No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.