
Baadhi ya wageni waalikwa wakia katika ftari ya pamoja iliyoandaliwa na Kampuni ya Simu za Mkononi, Vodacom na kufutari katika Hoteli ya Moven Pick jijini Dar es Salaam jana jioni.

Baadhi ya wadau wakipata futari kwa pamoja katika mwaliko huo....

Nyama choma ikiandaliwa maalum kwa ajili ya waalikwa wa kufutari mahala hao......

Waungwana nao ama kwa jina jingine wadau katika Fani ya naniliu walikuwapo (wapili kushoto) ni mdau wa Blog ya Bono Weekend Khadija Kalili akiwa na mashost wake........

Ankal Michuzi akipozi katika meza ya wadau, kulia kwake ni Mkurugenzi wa Vodacom Faundation, Mwamvita Makamba na wengineo......

Katika Futari hiyo hata burudani pia ilikuwapo hawa ni wanakikundi cha JKT Taarab wakiburudisha wakati wa futari hiyo...
oja k
No comments:
Post a Comment