Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kulia) akizungumza na Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Canada, Alex Masinda, wakati alipofika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam leo mchana kwa mazungumzo. Picha na OFisi ya Waziri Mkuu
PIC YATEMBELEA MAABARA ZA TBS, YAFURAHISHWA UTENDAJI KAZI WAKE
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeipongeza
TBS kwa kazi nzuri yenye weledi hususani katika ...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment