Habari za Punde

*FFU WAWATAWANYA MASHABIKI WA CHADEMA

Polisi wa kutuliza ghasia FFU, wakilinda eneo la mkutano ambalo lilipaswa kuhutubiwa na mgombea urais wa Chadema Dk Slaa ambaye hata hivyo ameshindwa kuhutubia katika viwanja hivyo vya Mlandege.

Wanafunzi wa shule ya msingi Mlandege wakichungulia madirishani baada ya walimu wao kukimbia madarasani kuhofia mabomu, muda mfupi baada ya askari wa kutuliza ghasia FFU, kutua eneo hilo na kuwataka wananchi kutawanyika kabla ya viongozi wa Chadema kujitoa mhanga na kuangua kilio cha kuomba msahama mbele ya askari hao.




No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.