Habari za Punde

*MKUTANO WA KITAIFA WA JK UNAKARIBIA KUANZA

Sehemu ya maandalizi ya mkutano wa kitaifa wa mgombea urais wa CCM, Jakaya Mrisho Kikwete, unaotarajia kuanza muda wowote kuanzi hivi sasa ndani ya Ukumbi wa Anatoglo, jijini Dar es Salaam, ambao utakuwa ukirushwa live na Televisheni za jijini ikiwamo ya ITV.
Baadhi ya waandishi wa habari na wazee waalikwa katika mkutano huo wakiwa ukumbini humo.
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa tayari ndani ya ukumbi huo wakimsubiri Mheshimiwa Jakaya Kikwete.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.