Mgombea urais wa CCM, Dk. Jakaya Kikwete, akiingia kwenye ukumbi wa Arnautoglou Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuanza mkutano wa kitaifa na waandishi wa habari ambapo mkutano huo unaorushwa live na Televisheni.
Mgombea urais wa CCM, Dk Jakaya Kikwete, akianza na kuongoza mkutano huo baada ya kuwasili na kuanza mkutano huo.
Mgombea Mwenza wa urais wa CCM, Dk Mohamed Gharib Bilal, akisikiliza kwa makini wakati Dk Jakaya Kikwete, alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari kwenye mkutano huo.

No comments:
Post a Comment