Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAANGALIZI WAKUU WA UCHAGUZI KUTOKA JUMUIA YA ULAYA,

Rais Jakaya Kikwete akifanya mazungumzo na ujumbe wa waangalizi kutoka Jumuia ya Ulaya ulioongozwa na Bwana David Martin (katikati) na kushoto ni Naibu Mwangalizi wa Uchaguzi mkuu, Tonny Risse leo.

PICHA NA JOHN LUKUWI



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.