Habari za Punde

*MR. II AFUNIKA MDAHALO WA WAGOMBEA MBEYA

Walinda Usalama wakijaribu kumzuia Shabiki wa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini wa CHADEMA Mr. ii, baada ya kufurahishwa na point alizoongea na kutaka kupanda jukwaani ili kumtunza fedha Sh. 2000 na kuzua mtafaruku mkubwa ukubini hapo leo.
Mashabiki wa Mr. ii wakimshangilia...
Sehemu ya watu waliojitokeza kushuhudia mdahalo huo...



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.