Habari za Punde

*MR. II NA DIWANI WA CCM WATUNISHIANA MISULI

Mgombea ubunge wa Chadema Bw Joseph Mbilinyi (MR II SUGU) akijinadi kwa wananchi katika kata ya Nonde, ambapo mgombea huyo alidai kuwa akiwa katika mkutano huo walipita vijana waliokuwa na mavazi ya kijani yanayoashiria kuwa ni mashabiki na wafuasi wa CCM, ambao walikuwa wakifanya fujo kwa kuimba na kucheza jambo ambalo lilionekana ni tofauti na kuwachanganya hata wanachama wa CHADEMA waliokuwapo katika mkutano huo.
Viongozi na makada wa Chadema wakiwa wamevamia ofisi ya msimamizi msaidizi wa uchaguzi, baada ya tukio hilo.

Gari ya matangazo ya mgombea ubunge jimbo la Mbeya mjini Bw Joseph Mbilinyi (MR II SUGU) likiwa limezungukwa na makada wa CCM ambao walitaka kulivunja kwa madai ya kutaka kuvuruga mkutano wa mgombea udiwani wake ambaye alikuwa akifanya mkutano wa kampeni katika kata hiyo pamoja na mgombea ubunge wa Chadema kutakiwa kufanya mkutano wake.'

Sebene la mashabiki wa CCM katika Kata hiyo...




No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.