
Mlemavu wa miguu mkazi wa Jiji la Mbeya, mbaye hakuweza kufahamika jina lake, akiwa katika mitaa ya jiji hilo akitafuta wateja wa biashara yake ya viatu kama alivyokutwa na Kamera yetu hivi karibuni. Watu kama hawa wanahitaji msaada kila kona wanayokuwa wakipita ikiwa ni pamoja na kuwasaidia kuvuka katika barabara, lakini hata hivyo watu kama hawa wakiwezeshwa wanaweza kwani ni watu wangapi wenye viungo vyao kamili na bado wanakaa pembezoni mwa barabara tena katika jiji la Dar es Salaam wakiomba omba tu tena wengine wakiigiza kuwa ni walemavu.

Francis Godwin, mkazi wa Iringa, ambaye pia ni mwandishi wa habari, akitoa msaada kwa mjasiliamali huyo.
No comments:
Post a Comment