Habari za Punde

*UZINDUZI WA TAMASHA LA FILAM ZA ULAYA

Balozi wan chi za Umoja wa Ulaya, Tim Clarke akizungumza wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Film za Ulaya uliofanyika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi Worlds Cinema Dar es Salaam
Balozi wa nchi za Umoja wa Ulaya Tim Clarke akichezea nyoka kundi la Wanne Star wakati wa Ufunguzi wa maonyesho ya Tamasha la Filamu za Ulaya uliofanyika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa World Cinema Dar es Salaam mwishoni mwa wiki
Balozi wa Umoja wan chi za Ulaya, Tim Clarke akiangalia nyoka wa msanii wane Star wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya Film za Ulaya uliofanyika mwishoni mwa wiki


















No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.