Habari za Punde

*DK. SHEIN RAIS WA ZANZIBAR 2010-2015

DK. SHEIN RAIS WA ZANZIBAR KWA TOFAUTI YA ASILIMIA MOJA Dk. Ali Mohamed Shein, ametangazwa rasmi kuwa ndiye ameibuka kidedea katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa urais katika Visiwa vya Zanzibar, baada ya kuwamwaga wapinzani wake kwa kuibuka na jumla ya kura 179, 809, huku mpinzani wake Maalim Seif wa CUF akiibuka na kura 176, 538, ikiwa ni tofauti ya kura tatu tu na pointi kadhaa, ikiwa ni sawa na tofauti ya asilimia moja tu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.