
Kamada wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova (kulia) akitoka katika ukumbi wa maafisa wa pilisi Oysterbay jijini Dar es Salaam leo baada ya kumaliza mkutano wakati alipokua akiwapongeza askari wa Makao Makuu, Kanda Maalum ya Dar es Salaam na vikosi mbalimbali kwa usimamizi mzuri wakati wa Uchaguzi Mkuu uliomalizika hivi karibuni. Nyuma yake ni Msaidizi wa Kamanda Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Charles Kenyela.
Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi

Maofisa na askari wa Jeshi la Polisi wa Makao Makuu, Kanda Maalum ya Dar es Salaam na vikosi mbalimbali wakimsikiliza Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, jana katika ukumbi wa maafisa wa polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam wakati kamanda huyo alipokua akiwapongeza askari hao kwa usimamizi mzuri wakati wa Uchaguzi Mkuu uliomalika hivi karibuni.

Maafande wakiwa makini kusikiliza pongezi zao kutoka kwa Kamanda Kova.
No comments:
Post a Comment